Sunday, November 15, 2015

MASTAA WA KIUME WENYE MADEMU ‘VISU’ ZAIDI AFRIKA


Peter Okoye akiwa na mkewe.

KILA mwanaume anatamani kuwa na mpenzi mzuri, lakini linapokuja suala la mapenzi kigezo cha uzuri wa mtu huweza kuwa na tafsiri pana kiasi kwamba
wahenga hawakukosea waliposema kipendacho roho hula nyama mbichi huku Wazungu wakiwa na usemi wa: ‘Beauty is in the eyes of the beholder’ wakiwa na maana kwamba uzuri upo ndani ya macho ya mtu atazamaye.

  • FOR HOT NEWS PLEASE CLICK HERE
  • Unknown

    USISAHAU KUBONYA MATANGAZO KILA UINGIAPO KWENYE CHANZO CHETU CHA HABARI

    0 comments:

    Post a Comment

    More Post

     

    Copyright @ 2013 NI ZAIDI YA LAANA .

    Designed by Templateiy & CollegeTalks